Na Mwandishi Wetu WAKATI Simba ikijinasibu kuibuka na ushindi katika mchezo wake wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Lengthens ya Zimbabwe utakaochezwa kwenye Uwanja wa Rufaro, mjini Harare, mechi hiyo imekuwa gumzo nchini na inasubiriwa kwa hamu kubwa kuliko ile ya Klabu Bingwa Afrika kati ya Gunners na Al Ahly ya Misri...
Na Mwandishi Wetu MSHAMBULIAJI nyota wa Yanga, Jerry Tegete ameondoka jana kwenda nchini Sweden kufanya majaribio katika klabu ya Assrsnka inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini humo...
Na Leah Kweka MSHAMBULIAJI wa Yanga, Boniphace Ambani amesema atahakikisha anazima shamrashamra za ubingwa wa Simba kwa katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom unaotarajiwa kuchezwa Aprili 11 mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam...
Samirah Phillip na Leah Kweka WAKATI mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi akikiri kuwa na ugumu wa kuibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom, mpinzani wake katika kinyang’anyiro hicho Mrisho Ngassa wa Yanga amesema kwake ni rahisi kutwaa nafasi hiyo...
Na Wilbert Molandi WAKATI kipa namba moja wa timu ya Taifa ya wanawake, Twiga, Stars Fatma Omary ‘Baba’ ambaye alikuwa anasumbuliwa na malaria amereja katika kikosi hicho, wapinzani wao Ethiopia wamejitamba kushinda mchezo wa kesho wa Kombe la Mataifa ya Afrika licha ya kutishwa na hali ya hewa ya joto ya Dar es Salaam...
Na Phillip Nkini IKIWA leo ndiyo timu ya Simba inajitupa katika Uwanja wa Rufaro kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Lengthens, timu hiyo ya Zimbabwe imepewa udhamini kwa sharti la kuhakikisha inaibuka na ushindi...
Na Saleh Ally UCHAFUZI wa hali ya hewa umeibuka chini chini wakati Ligi Kuu ya Vodacom ikiwa inaenda ukingoni na Simba wakionekana kuwa nafasi ya kuutwaa ubingwa huo, lakini watani wao Yanga hawajakata tamaa...
Na Saleh Ally UONGOZI wa Lengthens ya Zimbabwe umewachanganya Simba baada ya kuwambia mechi yao jijini Harare itachezwa Ijumaa na si Jumamosi kama ilivyokuwa awali...
Na Wilbert Molandi KATIKA kuonyesha Kocha Mkuu wa Yanga, Mserbia Kosta Papic amedhamiria kumdondosha mnyama katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, baada ya juzi kutumia dakika 180 kwenye jua kali akiwanoa wachezaji wake. Watani hao wa jadi wanatarajiwa kuvaana Aprili 11 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
Na Wilbert Molandi WAKATI pambano la watani wa jadi wa Simba na Yanga likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini, kadi mbili alizonazo kipa namba moja wa Simba, Juma Kaseja zimezua hofu kuwa huenda akalikosa pambano hilo la watani...
Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa Burundi, Adel Amourache raia wa Algeria ni kati ya makocha waliojitokeza kupeleka maombi yao kuwania kuifundisha timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars...
Na Jozaka Bukuu IWAPO uongozi wa Yanga utakubaliana na ule wa mabingwa wa Afrika, TP Mazembe ya DR Congo, basi kipa Obren Cuckovic na kiungo Athuman Idd wataondoka zao kujiunga na timu hiyo...
Na Jozaka Bukuku MLINDA mlango namba moja wa African Lyon, Ivo Mapunda amesema kuwa kutokana kikosi chao kujipanga vizuri wanatarajia kushinda mechi ya leo dhidi ya Majimaji, hali inayoweza kuongeza mtafaruku unaofukuta kwenye klabu hiyo ya Songea...
Na Kikosi cha Championi SUALA la hatma ya Kocha Mkuu wa Yanga ndani ya klabu hiyo inaendelea kuwa na utata huku kila upande ukioneakana kulitupia zigo kwa wengine na uongozi umelikabidhi suala hilo kwa aliyekuwa Mfadhili Mkuu, Yusuf Manji...
Na Samirah Phillip MSHAMBULIAJI wa klabu ya daraja la pili nchini Sweden ya Vasaland IF, Athumani Machuppa ameonyesha kurejea katika kiwango chake baada ya ...