Na Mwandishi Wetu Ikiwa ni miezi kadhaa imekatika toka akumbwe na skendo ya kupiga picha za ngono, mnenguaji mkongwe wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ aliye pia ‘mnyapala’ wa safu ya wacheza shoo, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, anadaiwa kuibuka kutoka mafichoni akielezea mateso aliyoyapata kufuatia kuandikwa kwa skendo hiyo...
Na Mwandishi Wetu Mkali wa sinema za Bongo anayekwenda kwa jina la Steven Charles Kanumba ‘The Great’ anadaiwa kuwa na ‘ugonjwa’ wa kupagawa kimahaba zaidi na mamisi kuliko ‘taipu’ nyingine ya wasichana, Ijumaa linashuka na full data...
Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Mtandao wa simu za mkononi ya Zantel, imezindua promosheni kubwa ya CHOMOKA NA VESPA, maalum kwa lengo la kunufaisha wateja wake wa Zanzibar...
Na Imelda Mtema Mcheza filamu sistaduu Bongo, Shamsa Ford, amesema kamwe hatokubali kutoa penzi lake kwa Prodyuza awaye yeyote wa ‘muvi’ ili aweze kuuza sura...
Na Richard Bukos Mrembo anayeshikilia ‘krauni’ ya Kimwana wa Manywele, Halima Haruni, hivi karibuni alielezea kilio chake baada ya kupigwa chini na Pedeshee mmoja maarufu kwa jina la Injinia...
Na Musa Mateja Mchekeshaji wa Kundi la Vichekesho la Orijino Komedi, Alex Chalamila ‘McRegan’, ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza kuwa, starehe yake kubwa anayoipenda katika maisha yake ni kukaa geto na mpenzi wake huku wakioneshana ‘malavidavi’ badala ya kwenda kujirusha viwanja...
Baada ya wiki iliyopita kuwa na mkongwe wa Bongo Flava, Kidume Mzee Mnonji ‘Hardmad’ katika mistari hii michache ya Ten Questions,leo tunaye Mtangazaji wa Kipindi cha Muziki wa Mwambao kunako Kituo cha Runinga na Redio cha Taasisi ya Habari ya TBC, Mariam Migomba...
Na Mwandishi Wetu Imefichuka na wala siyo siri tena kuwa, binti mrembo anayekwenda kwa jina la Jamilah Hassan, ‘maruhani’ yake ya kimahaba yapo kwa wasakata kabumbu zaidi kuliko wanawaume wenye fani nyingine, Ijumaa linashuka na a,e,i,o,u yake...
Na Issa Mnally Waswahili walinena za mwizi arobaini, msemo huo haupo mbali sana na tukio la hivi karibuni la binti mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Fatuma ambaye inadaiwa ni mtoto wa Kigogo mmoja nchini, kukamatwa na kupewa kichapo baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuiba nguo...
Na Imelda Mtema Nuss Ukakam 2006 Hacqyekube Oatrucj abaubgua jwebte kustu ta nastaa wakui jatuja 'fomati' ya kupiga na kupigwa picha chafu, ijumaa linamwanika ...
Na Richard Bukos Nyota wa muziki wa mwambao Bongo, Fatuma Baraka ‘Bi. Kidude’, hivi karibuni alimchimba mkwara ‘hevi’ msanii wa Muziki wa kizazi Kipya, Babu Ayubu, ambaye amejipatia ‘neimu’ na wimbo wake wa Chaja ya Kobe akitumia sauti ya mkongwe huyo...
Na Musa Mateja Taasisi ya Kukuza Vipaji vya wasanii Bongo ‘THT’, hivi karibuni ilifanya uzinduzi ‘the history’ wa jengo lake jipya, shughuli iliyofanywa na Katibu Tawala, Wilaya ya Kinondoni, Benard Patrick Marcel...
Na Mwandishi Wetu Wasanii wanaokubalika nchini ndani ya game ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa kufokafoka, Joh Makini a.k.a Mwamba wa Kaskazini na G Nako nusura wauawe baada ya kuvamiwa na majambazi...
Na Imelda Mtema Siku chache baada ya kuzagaa uvumi wa kuwepo kwa ‘ombaomba jini’ aliyepewa fedha na mwanamke mmoja kwenye gari na mkono wake kuwa na manyoya kabla ya kutoweka, tukio lililochukua ...
Baada ya wiki iliyopita kuwa na msakata kabumbu kutoka chama la Yanga la jijini Dar es Salaam, leo tunaye msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayekwenda kwa jina la Kidume Mzee Mnonji a.k.a Hardmad. Ungana nami basi ili uweze kujua mambo kadha wa kadha ambayo ulikuwa huyajui kuhusu jamaa huyu ...