arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » ijumaa wikienda

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» MSHANGAO!
» Rais Kabila aomba wakafungw ...
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» WHY? kwa sababu sijakim ...
» NDANO YA VIUNGA VYA ZIF ...
» KENYA NDANI YA MAPAMBAN ...
» My dear Cleopatra - 31( ...
» Kwanini upekenyue simu ...
» The Assassination -22
» Meneja wa Twanga mbaron ...

 

Aunt Ezekiel alivyopigika kusaka posho mbuzi usiku

ijumaa wikienda  
Aunt Ezekiel alivyopigika kusaka posho mbuzi usiku
Ni staa leo lakini jana alikuaje? Hii ni ‘untold story’ kuhusu mcheza filamu ‘The Cute One’, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ kuwa hawezi kuusahau mwaka 2006...
    (8 March 2010)
Views: 1534 | Maoni (6) | Soma Zaidi

 

Wabongo washiriki shindano la aibu

ijumaa wikienda  
Wabongo washiriki shindano la aibu



Na Mwandishi Wetu
Binadamu wanazidi kuota meno, wanaendelea kutenda mazito ambayo yanaweza kumstaajabisha hata Shetani! Hii inawahusu warembo wawili wa Kitanzania ambao wameshiriki shindano la kucheza uchi nchini Jamaica...
    (8 March 2010)
Views: 1154 | Maoni (6) | Soma Zaidi

 

Maunda ajifungua

ijumaa wikienda  
Maunda ajifungua

Na Mwandishi Wetu
Mama Katumbo, Maunda Zorro, wiki iliyopita alianza kutambulika kama mama baada ya kujifungua mtoto wa kiume, Ijumaa Wikienda lina kitu kamili...
    (8 March 2010)
Views: 682 | Maoni (6) | Soma Zaidi

 

Micharuko ya Jiji la Dar

ijumaa wikienda  
Micharuko ya Jiji la Dar
Na Richard Bukos
Mwishoni mwa wiki katika Jiji la Dar es Salaam a.k.a Jiji la Kandoro starehe zimekuwa zikichukua nafasi kubwa sana huku kumbi nyingi za burudani zikifurika watu na yanayofanyika huko ni sawa na vurugu mechi...
    (8 March 2010)
Views: 478 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Kimwana Manywele atelekeza kachanga

ijumaa wikienda  
Kimwana Manywele atelekeza kachanga

Na Richard Bukos
Mwanadada ambaye ni mshindi namba 2,2007 wa Shindano la Kimwana Manywele, Husna Idd ‘Sajent’, hivi karibuni alibainika kumtelekeza mwanae mwenye miezi nane nyumbani kwake Sinza, usiku kisha yeye kwenda kujirusha...
    (8 March 2010)
Views: 204 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Maajabu ya mwaka

ijumaa wikienda  
Maajabu ya mwaka
Maajabu ya mwaka

Musa Mateja na Richard Bukos
Tukio la daktari mwenye kesi ya kumbaka mgonjwa wake, Paul Andrew kutunukiwa uchungaji wa kuliongoza kanisa, limetafsiriwa kuwa ni maajabu ya mwaka wa 2010, Ijumaa Wikienda lina A mpaka Z...
    (1 March 2010)
Views: 626 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

Mduara wa usagaji

ijumaa wikienda  

Mduara wa usagaji

Na Mwandishi Wetu
Vitendo vya ngono ya jinsia moja vinazidi kushika kasi, usagaji kwa upande wa ile ‘jenda’ ya wa-Beijing unazidi kupata umaarufu ndani ya jamii kutokana na ukweli kwamba, ‘waumini’ wengi wa ka-mchezo hako kasikofaa ni watu maarufu na wengine wana ushawishi mkubwa kijamii...
    (1 March 2010)
Views: 981 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Mbunge CCM afanya madudu msibani!

ijumaa wikienda  

Mbunge CCM afanya madudu msibani!

Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Mvomero kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Suleiman Murad Sadiq anadaiwa kufanya madudu kwenye msiba unaomhusu Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Morogoro, Abdallah Mtinga...
    (1 March 2010)
Views: 470 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Wema, Miriam... PEPO WAO NI MMOJA

ijumaa wikienda  

Wema, Miriam... PEPO WAO NI MMOJA

Na Mwandishi Wetu
Kuna kila dalili kwamba, Miss Tanzania 2006 ‘The History’, Wema Sepetu na Miss Tanzania 2009, Miriam Gerard wanashea ‘pepo’ mmoja anayewaongoza katika kutenda mambo yanayoonekana katika jamii si ya kawaida, Ijumaa Wikienda limechunguza kwa kina, sasa linashuka na data...
    (1 March 2010)
Views: 229 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Watoto wa babu seya wapasua jipu

ijumaa wikienda  
Watoto wa babu seya wapasua jipu
Watoto wa babu seya wapasua jipu



Video inaonyesha maojiano baina wa watoto wa babu seya na waandishi wa Global

Imelda Mtema na Richard Bukos

Nguza Mbangu ‘Mashine’ na Francis Nguza ‘Chichi’ ambao ni watoto wa galacha wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’, hatimaye wamepasua jipu kuhusu maisha yao kwa kung’ata ya zamani, sasa na yajayo...
    (22 February 2010)
Views: 1357 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Irene: Nimerudi nipo Bongo mwaka mzima

ijumaa wikienda  
Irene: Nimerudi nipo Bongo mwaka mzima
Na Imelda Mtema
Wakati madai yake ya kupewa talaka yakishamiri kwa kasi, Miss Tanzania namba 5 2006-07, Irene Uwoya amesema kuwa yeye kuwepo kwake nchini ni kwa sababu ndiyo nyumbani kwao, pia ni kazini kwake katika fani yake ya filamu.
Irene aliyasema hayo, alipokuwa akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu juzi (Jumamosi) ambapo kwa msisitizo, alisema kuwa atakuwepo Bongo kwa muda wa mwaka mzima...
    (22 February 2010)
Views: 1598 | Maoni (13) | Soma Zaidi

 

Mish B kuolewa

ijumaa wikienda  
Mish B kuolewa
Na Kyalaa Seheye
Hatimaye mtangazaji wa kipindi cha miondoko ya Pwani kupitia Kituo cha Redio cha Magic FM, Mwanahamisi Bashir Mwenda a.k.a Mishi Bomba, anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao na mwanaume ambaye kwasasa tunamuweka kapuni kwasababu maalum...
    (22 February 2010)
Views: 531 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Watoto wa Babu Seya kuvuna mamilioni

ijumaa wikienda  
Watoto wa Babu Seya kuvuna mamilioni
Na Mwandishi Wetu
Watoto wa mwanamuziki maarufu nchini Nguza Viking almaarufu kama Babu Seya walioachiwa huru hivi karibuni na Mahakama ya Rufaa nchini, Nguza Mbangu ‘Mashine’ na Francis Nguza ‘Chichi’ wanaweza kuvuna mamilioni ya fedha iwapo watafungua kesi ya madai dhidi ya serikali na kushinda...
    (15 February 2010)
Views: 1542 | Maoni (8) | Soma Zaidi

 

DK 378 ZA MAUMIVU

ijumaa wikienda  
DK 378 ZA MAUMIVU

Christopher Lissa na Issa Mnally
Tukio la Miss Tanzania 2009-2010, Miriam Gerald kukamatwa, kupandishwa kizimbani kisha kupelekwa rumande kwenye Gereza la Segerea, Dar es Salaam, limetazamwa kwa vipimo vya kisayansi na kubaini kwamba liligharimu karibu dakika 378 ambazo ni za maumivu tele kwa mrembo huyo...
    (15 February 2010)
Views: 1674 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

VALENTINE YA UFUSKA!

ijumaa wikienda  
VALENTINE YA UFUSKA!
Na Mwandishi Wetu
Sherehe za kuadhimisha Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ ambayo ilisherehekewa kote ulimwenguni jana (Jumapili) ilionekana kutawaliwa na matukio mengi ya kifuska ikiwa ni pamoja na mafumanizi kuchukua nafasi kubwa sehemu mbalimbali huku gesti nyingi zikifurika wapenzi feki...
    (15 February 2010)
Views: 1338 | Maoni (8) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 28 29 30  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com