
Mama Anna Mkapa Kushoto akimfariji Mme wa Waziri MbatiaPichani.
Baadhi ya viongozi wakiaga mwili wa marehemu Salome Mbatia.NaBaadhi ya Waombolezaj iwakiwa katika majonzi makubwa wakati wakiaga mwili wa marehemu nyumbani kwake Oysterbay Dar es salaam
(Picha na Richard Bukos)
Mkapa akimfariji Mme wa Waziri Mbatia

waziri mkuu Mh Edward Lowasa na Katibu mkuu Mh Makamba ni
mniongoni wa viongozi wa serikali na Chama cha Mapinduzi
waliohudhuria msiba wa waziri Mbatia

Aliekuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri wa Muungani wa Tanzania Mh
Benjami William Mkapa,Rais wa Awamu ya pili wa Jamhuri wa Muungani wa Tanzania Mh alhaji Hassan Mwinyi na Rais wa
Zanzibar Mh Aman Abeid Karume.ni mniongoni wa viongozi wa
serikali na Chama cha Mapinduzi waliohudhuria msiba wa waziri Mbatia.

