arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Pasua Jipu

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» Aina 10 ya vyakula vinavyoo ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» Mziray alia na wachezaj ...
» Mike Tyson akamatwa kwa ...
» A - Z YAMLIPUKO DAR
» DITO ALIKUWA MSHIKAJI W ...
» Ikulu yaja juu
» Penzi jipya ni mwisho w ...
» Unavyoweza kunufaika kw ...

 

Hatutaki wabunge vibogoyo katika bunge lijalo

Pasua Jipu  
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuweza kunipa nguvu na afya kwa siku ya leo ili niweze kuwaandikia haya nitakayoandika.
Ndugu zangu, sina budi kukiri kwamba waliosema siasa ni mchezo mchafu kwa kweli hawakudanganya. Nakiri kwamba usemi huo kweli!...
    (16 March 2010)
Views: 27 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

NIONAVYO MIMI MR II ANASTAHILI HESHIMA NA MALIPO YA TAMASHA LA ZINDUKA

Pasua Jipu  

NIONAVYO MIMI MR II ANASTAHILI HESHIMA NA MALIPO YA TAMASHA LA ZINDUKA
Joseph Mbilinyi ‘Mr II’

NIMESOMA habari yenye kichwa cha habari “Mungai alimsaliti Sugu” kwenye gazeti la Dimba la Jumapili ya Machi 7, 2010, ambayo kwa mtazamo wangu naona ina lengo la kupotosha ukweli na ndio imenisukuma nipasue jipu hili.
Hebu ndugu msomaji fumba macho hapo ulipo ufikirie mifano miwili ifuatayo:...
    (9 March 2010)
Views: 334 | Maoni (7) | Soma Zaidi

 

Rais twende kazini, tutakusaidia katika vita hii ya rushwa katika chaguzi

Pasua Jipu  
NDUGU zangu nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuweza kuniweka mzima wa afya leo mnaponisoma katika safu hii.
Niwakumbushe tu kwamba wiki iliyopita Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliwaagiza maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (Takukuru) kuwashughulikia ...
    (1 March 2010)
Views: 23 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

NI WAKATI WETU SOTE KUIBADILI TANZANIA

Pasua Jipu  
Hii ni nchi yetu,
Hii ni ardhi yetu,
Hapa ni kwetu sote,
Kamwe hatutakiwi kupakatia tamaa,
Hata kama kuna wachache wanaotuvunja moyo.
Lazima tufanye kila linalowezekana,
Kila mmoja wetu ajisikie kudaiwa na nchi yake hatimaye
kutimiza wajibu wake...
    (23 February 2010)
Views: 24 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

MHE. PINDA, WAZIRI MKUU WA MWISHO KUTOKA FAMILIA MASKINI?

Pasua Jipu  

MHE. PINDA, WAZIRI MKUU WA MWISHO KUTOKA FAMILIA MASKINI?
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

MHE. PINDA, WAZIRI MKUU WA MWISHO KUTOKA FAMILIA MASKINI?

Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yametoka, nimekaa ofisini kwangu nina gazeti la Dar Leo mikononi nikisoma na kuyaangalia matokeo hayo, si kuangalia tu bali pia najaribu kulinganisha matokeo ya shule za Sekondari za Binafsi na serikali, inasikitisha!...
    (16 February 2010)
Views: 240 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

BADO NINA MATUMAINI MAKUBWA NA NCHI YANGU TANZANIA

Pasua Jipu  
Miongoni mwa mambo ambayo namshukuru Mungu kwa kunipa ni nafasi ya kukutana na vijana wa nchi hii na kuongea nao bila kujali Itikadi zao za kisiasa, rangi za ngozi zao, dini nk.
Mambo haya kwangu mimi huwa hayana maana kubwa sana, cha muhimu kwangu ni Utanzania na Uzalendo wa kweli wa mtu aliyesimama mbele yangu hata kama tunatofautiana kwa vipengele nilivyovitaja hapo juu...
BADO NINA MATUMAINI MAKUBWA NA NCHI YANGU TANZANIA
    (8 February 2010)
Views: 18 | Maoni (0) |

 

JWTZ wanapoamua kutengeneza maadui wa ndani, faida yake nini?

Pasua Jipu  
Hivi karibuni nilisoma kupitia vyombo vya habari juu ya askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) MT. 74670 Koplo Katarama aliyehukumiwa kwenda jela miaka kumi na mbili kwa kosa la kumpiga askari wa Kike wa Usalama barabarani Namba 4116 Sajini Wegesa! Ingawa askari huyu anakwenda kutumikia kifungo kwa miaka yote hii, bila shaka ana familia, lakini niliipokea hukumu hii kwa mikono miwili na kusema hili ni fundisho kwa vijana wetu wa Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania...
    (1 February 2010)
Views: 86 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

CCM kuweni makini, Paka amekubali kulala chali!

Pasua Jipu  
Namshukuru Mungu,
Ni mwaka mpya wa 2010, mwaka ambao Watanzania wamejiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge. Ni mwaka ambao nafasi ya mtu wa kawaida kumwadhibu mtu wa juu imewadia, mwaka ambao Watanzania wengi watauza haki yao ya Kikatiba na kuchagua viongozi wasiofaa kwa sababu tu wamepewa kitu fulani na kuteseka kwa miaka mingine mitano...
    (18 January 2010)
Views: 68 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Sakata la Richmond sasa lifikie mwisho, limechosha wengi

Pasua Jipu  
“Watanzania wanataka kujua mwisho wa mjadala huu kwa sababu kubwa mbili, moja kashfa yenyewe ya Richmond imeichafua serikali yao na pili kamati teule ya Bunge imetumia mamilioni ya fedha kufanyia uchunguzi na kukusanya taarifa ya jambo hilo."...
    (11 January 2010)
Views: 52 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Watanzania tunaukaribisha mwaka 2010, ni wa uchaguzi wa viongozi wetu tuwe makini

Pasua Jipu  
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kusherehekea Sikukuu ya Krismas nikiwa salama tena wa afya tele! Wasomaji wote wa safu hii nawapa mkono wa Krismas nikitumaini kuwa nanyi Mungu amewalinda. Pia niwashukuru kwa kuendelea kutuunga mkono kwa kusoma magazeti yetu kwa kipindi chote cha mwaka 2009...
    (28 December 2009)
Views: 60 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Viongozi wa dini, siasa ndimi zenu zitatuangamiza

Pasua Jipu  
Namshukuru Mungu,
Ndugu zangu,

Yanayotokea nchini mwetu hivi sasa, kama Tanzania ingekuwa ni mwili wa mwanadamu basi kila kukicha tungesikia mtu huyo akisema naumwa kichwa, viungo, nina homa kali, naharisha nk. Ingawa tutakuwa hatujagundua kinachomsumbua mtu huyu ni nini, lakini kelele zake hizi zinatosha kabisa kuonesha kwamba mtu huyu anaumwa!...
    (21 December 2009)
Views: 91 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ukitaka kumtawala mtu kirahisi muibie kila kitu, lakini mtu akishaibiwa kila kitu hatawaliki

Pasua Jipu  
Namshukuru Mungu,
Ingawa watu wengi wanadai kwamba chanzo cha vurugu na mtafaruku ambao umekuwa ukitokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi siku za hivi karibuni ni matokeo ya majeraha ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, binafsi bado sijaelewa vizuri undani wa dhoruba hii, ila bado naifanyia kazi kwa nguvu kubwa ingawa sababu iliyotajwa pia inaweza kuwa na ukweli...
    (15 December 2009)
Views: 97 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

WAKATI UMEFIKA WENYE “MOJA KICHWANI” WAIWEKE HADHARANI!

Pasua Jipu  
Namshukuru Mungu, ZIKIWA zimebaki saa chache tu kufika tarehe 9, Desemba siku ya kuadhimisha Uhuru wa nchi yetu, tukiwa tunatimiza miaka 48 ya uhuru wetu nimeona ni vyema nami kama Mtanzania niseme yangu machache nikitimiza wajibu wangu. Ni miaka 48 ya Uhuru, hakika hii ni miaka mingi ambayo tumesafiri pamoja kama Watanzania, tukiwa tumepitia awamu tatu za uongozi kabla ya kuingia hii ya nne iliyo chini ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, aliyeingia madarakani kwa ushindi wa asilimia 80 ushindi mkubwa kuliko mwingine wowote katika historia ya nchi yetu...
    (7 December 2009)
Views: 124 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

NI AIDHA TUSAMEHEANE, SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE AU TUENDELEE KUCHAFUANA!

Pasua Jipu  
KUMRADHI: Wiki tatu zilizopita tulikuwa tukichapisha mfululizo wa maneno kutoka hotuba iliyotoka kwenye kitabu cha Nyerere kilichoitwa ‘TUJISAHIHISHE’ kilichotolewa Dar es Salaam Mei 1962, tulipomaliza, kwenye sehemu ya kutambua kazi hiyo, hatukueleza kwamba ndani ya machapisho hayo tulibadili maneno TANU, WanaTANU na wasio WanaTANU kwenda CCM na WanaMtandao na wasio WanaMtandao. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika hilo.Mhariri...
    (30 November 2009)
Views: 68 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

NYERERE AONYA TOKA KUZIMU-3

Pasua Jipu  
SHAMBA letu kama halikutoa mavuno ya kutosha, jibu lilikuwa wazi: au limerogwa au ni amri ya Mungu. Watoto wetu walipokuwa wagonjwa daima jibu lilikuwa rahisi au wamerogwa au ni amri ya Mungu. Nyumba yetu ilipopigwa radi ikaanguka, jibu lilikuwa rahisi: au ni uchawi au amri ya Mungu...
    (23 November 2009)
Views: 99 | Maoni (0) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 4 5 6 7 8 9  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com