Na Mwandishi Wetu The Supermodel, aliye pia Miss Tanzania 10 Bora 2008-09 anayedaiwa kufanyiwa unyambilisi wa kubakwa kisha kupigwa picha chafu, anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine, hii ikihusu kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ubakaji huu...
Na Mwandishi Wetu Ndugu Lawama, huo ni wimbo kutoka bendi marehemu ya Double M Sound, lakini una maana kubwa katika jamii zetu, na imethibitika kwenye ndoa ya wasanii wa filamu nchini, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ na Wastara Juma kutokana na dhoruba zito linalowapiga...
Na Richard Bukos Mrembo aliyewahi kuwa gumzo kupitia uhusiano wake wa kimapenzi na wanasoka wawili kwa nyakati tofauti, kipa timu ya Simba, Juma Kaseja na kiungo wa Yanga, Athumani Idd Chuji, zote za Dar es Salaam, Jamilah Hassan, hatimaye amechumbiwa...
Na Mwandishi Wetu Hatimaye ‘presenta’ wa kipindi cha miondoko ya Pwani kupitia Kituo cha Redio cha Magic FM cha jijini Dar es Salaam, Mwanahamisi Bashir Mwenda ‘Mishi B, hivi karibuni ameingia kwenye kitanzi cha ndoa baada ya kufanyiwa bonge la ‘kicheni pati’ ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuvaa pingu za maisha...
Kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Malaika kimerejea tena baada ya kukaa kimya takribani miaka saba iliyopita na mrembo wa Tanzania, Elizabethi Urio kufanikiwa kulinyakua taji hilo ambapo shindano hilo kwa sasa linafanyika bara zima la Afrika na badala ya Afrika Kusini kama ilivyokuwa miaka ya nyuma...
Licha ya kuwepo kwa jitihada za makusudi kuhakikisha filamu kutoka kiwanda cha filamu hapa bongo zinachukua chati na hatimaye kuitangaza nchi hii kimataifa, kumekuwepo na lawama nyingi kutoka kwa jamii kuhusiana na aina ya mavazi ambayo yanatumiwa na nyota kadhaa wanaoishiriki katika filamu hizo...
Kampuni ya simu za mkononi ya Zain leo (Jumamosi) inatarajiwa kuungana na wasanii wa sanaa mbalimbali katika tamasha litakalofanyika viwanja vya, Nafasi Arts Space, vilivyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam...
Bendi ya muziki wa dansi nchini inayokuja kwa kasi ya ajabu inayokwenda kwa jina la Diamond Musica International leo asubuhi itakuwa katika viwanja vya Leaders Club ikiendelea na na kampeni za kuinadi Bahati Nasibu ya Shinda Gari 2010 na jioni itatambulisha ngoma zake tatu mpya ndani ya Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar es Salaam...
Na Mwandishi Wetu Ni skandali nyingine yenye uzani mkubwa kuzunguka Kanisa hususan kwa waumini wenye mlengo wa kilokole, baada ya kuibuka kwa tuhuma kwamba baadhi ya watumishi wa kiroho wanazitumia nafasi zao kupata pumziko la ngono kutoka kwa waumini wao...
Bendi ya Muziki wa Dansi ya Diamond Musica International leo itakuwa na kazi moja ya kulinadi kwa wasanii wa filamu nchini gari la Global Publishers linaloshindaniwa katika Bahati Nasibu ya Shinda Gari 2010 ambayo inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar es Salaam...
Inaweza ikawa kweli japo hatuna uhakika wowote juu ya minong’ono ambayo imezagaa kila kona ya jiji la Dar es Salaam kuwa, mkali wa muvi za Kibongo Irene Uwoya ameonekana kuithamini zaidi tasnia ya filamu kuliko ndoa yake...
Mchekeshaji first class Bongo anayesumbua mbaya ndani ya Kundi la Orijino Komedi anatarajiwa kuwa jaji katika shindano la kumtafuta mkali wa Kiduku 2010 lililoandaliwa na mtangazaji anayepoteza kinoma katika fied hiyo hapo ya utangazaji Maimartha Jesse a.k.a Mai wa Jesse...
Na Mwandishi Wetu yenye kichwa; ROSE MUHANDO AIPASUA NDOA YA ALEX MSAMA. Mkurugenzi huyo alisema kuwa, toka gazeti hilo lilipoingia mitaani asubuhi na yeye usingizi wake ulikatika ghafla, kwani simu za kumpa pole ziliweka zamu ikiwa ni moja baada ya nyingine...
Na Haruni Sanchawa Bosi wa Tanzania Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa amewabana mahausigeli na mahausiboi akitaka wasipewe ajira bila kuwa na mafaili yenye rekodi inayoonesha maeneo wanayoweza kupatikana punde wanapoharibu kwa waajiri wao na kuingia mitini....
Na Mwandishi Wetu Mchecheto wa Uchaguzi Mkuu 2010 umeanza kushika kasi, mpya yenye moto ni kuwa baadhi ya wagombea nafasi ya ubunge walioweka kambi yao Dar, wamechanga shilingi milioni 40 na kuita jopo la waganga wa jadi kwa lengo la kusafisha nyota zao...