arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » risasi mchanganyiko

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Mpenzi mwenye tabia hizi m ...
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Mduara wa Mahaba (19)
» (SIMULIZI ZA CHUMBANI) MDUA ...
» Aisha Madinda: NGONO INANIU ...
» JACKLINE AMUANIKA ALIYEMTOA ...
» KANUMBA: NARGIS ALINITESA ...
» KABILA ANAKULA ‘RAHA’ N ...
» BAKHRESA YU HOI!
» BABA YOYOO ANAPOKOLEA K ...
» Mbongo ashinda Sh milio ...
» HONGERENI VIJANA!
» Wapinzani waibua tena s ...
» Siri 5 zitakazokuwezesh ...

 

Nancy Sumary, Nakaaya Sumary: JINO KWA JINO

risasi mchanganyiko  
Nancy Sumary, Nakaaya Sumary: JINO KWA JINO
Na Mwandishi Wetu

Ikiwa leo ni siku ya mwisho wa 2008 huku tukijiandaa kuukaribisha mwaka mpya, 2009, ndugu wawili, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nakaaya Abraham Sumary ‘Mr. Politician’ na aliyekuwa Miss Tanzania 2005, Nancy Abraham Sumary wamedaiwa kuwa katika bifu zito ‘jino kwa jino’ kutokana na kutokuelewana kwao kwa mwaka mzima...
    (31 December 2008)
Views: 1244 | Maoni (13) | Soma Zaidi

 

Mama Salma Kikwete: ATOA KALI YA MWAKA ATINGA TBC 1, AFANYA MAMBO YA KUSHANGAZA

risasi mchanganyiko  
Mama Salma Kikwete: ATOA KALI YA MWAKA ATINGA TBC 1, AFANYA MAMBO YA KUSHANGAZA
Na Imelda Mtema

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete hivi karibuni amefanya kali ya mwaka na kuwashangaza wabongo baada ya kutinga katika studio za Kituo cha Televisheni cha TBC1 na kutangaza kipindi cha watoto...
    (31 December 2008)
Views: 1126 | Maoni (9) | Soma Zaidi

 

WEMA, IRENE SASA WAFIKIA PABAYA

risasi mchanganyiko  
WEMA, IRENE SASA WAFIKIA PABAYA
Na Waandishi Wetu

Zikiwa zimesalia siku nne mwaka 2008 kumalizika, wale wanyange wawili waliodaiwa kuwa na bifu kwa kile kilichosemekana kuwa ni wivu wa mapenzi kwa msanii maarufu wa Filamu nchini, Wema Sepetu na Irene Uwoya wamefikia pabaya kutokana na sakata lao kuchukua sura mpya....



    (27 December 2008)
Views: 1317 | Maoni (21) | Soma Zaidi

 

Krismasi laana tupu!

risasi mchanganyiko  
Krismasi laana tupu!
Waandishi Wetu

Katika hali inayoonekana kuwa ni kufuru kwa ‘bethidei’ ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, Krismasi, watu wengi Jijini Dar es Salaam walisherehekea kwa kufanya vitendo vya laana ikiwa ni pamoja na ngono, kulewa kupita kiasi na kutwangana makonde kiasi cha kumwaga damu....


    (27 December 2008)
Views: 535 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

MWANAFUNZI ALIYEJIPIGA PICHA CHAFU: Siri yafichuka

risasi mchanganyiko  
MWANAFUNZI ALIYEJIPIGA PICHA CHAFU: Siri yafichuka
Mariam Mndeme na Amina Salim

Sakata la mwanafunzi Mtanzania anayesoma chuo kimoja nchini Uganda kujipiga picha chafu kisha Boifrendi wake kuzisambaza mtandaoni baada ya kuzinasa limeingia sura ya pili kufuatia Mbunge aliyedaiwa ni baba wa denti huyo kujitokeza na kukanusha vikali...
    (24 December 2008)
Views: 1425 | Maoni (9) | Soma Zaidi

 

Miss Mbeya: NUSURA NIBAKWE NILIKATAA OFA YA BIA AKANIITA CHOONI

risasi mchanganyiko  
Miss Mbeya: NUSURA NIBAKWE NILIKATAA OFA YA BIA AKANIITA CHOONI
Na Rhobi Chacha

Mrembo aliyewahi kuwa Miss Mbeya Mwaka 2002,Hellen Fotunatus hivi karibuni alinusurika kubakwa chooni ndani ya Ukumbi wa Msasani Club uliopo jijini Dar es Salaam...
    (24 December 2008)
Views: 527 | Maoni (14) | Soma Zaidi

 

Lowassa, Kawawa nao watinga Mahakamani

risasi mchanganyiko  
Lowassa, Kawawa nao watinga MahakamaniNa Christopher Lissa

Mfanyabiashara Ibrahim Gulamhussein Albhai juzi (Jumatatu), aliwasilisha hati ya kuiomba Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kutoa amri ya kukamatwa kwa wadhamini wa mradi wa jengo la CCM, Plot 11, Block 53, Nyumba namba 107, Mtaa wa Sikukuu, Kariakoo, jijini Dar es Salaam...
    (24 December 2008)
Views: 377 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

WANAUME HALISI WATINGA HARUSI YA MH. TEMBA

risasi mchanganyiko  
WANAUME HALISI WATINGA HARUSI YA MH. TEMBA
Katika kuonesha kwamba Wanaume Halisi na Wanaume TMK wako pamoja, baadhi ya wasanii wa Kundi la Wanaume Halisi walitinga katika harusi ya Amani James Temba ‘Mheshimiwa Temba’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Princess, uliyopo Sinza, Dar es Salaam,...


    (17 December 2008)
Views: 1105 | Maoni (10) | Soma Zaidi

 

UCHUMBA WA SHY-ROSE, JAFFARAI FULL STOP

risasi mchanganyiko  
UCHUMBA WA SHY-ROSE, JAFFARAI FULL STOP
Na Mwandishi Wetu

Ule uchumba wa kukata na mundu ambao ulikuwa gumzo jijini Dar na pembezoni mwa nchi kati ya Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Mwanaharakati wa masuala ya Kijamii, Shyrose Bhanji na mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Jaffari Ali ‘Jafarai’ umekufa rasmi...

    (17 December 2008)
Views: 1512 | Maoni (13) | Soma Zaidi

 

Kalala Junior ahongwa gari!

risasi mchanganyiko  
Kalala Junior ahongwa gari!
Na Waandishi Wetu

Mwanamuziki wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta,’ Kalala Junior anadaiwa kuhongwa gari na mrembo mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Mary kwa kile kilichodaiwa na washambega kuwa ni kuchanganywa kimapenzi na mwanamuziki huyo...

    (17 December 2008)
Views: 690 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

Mramba, Yona kumtoa mgonja lupango

risasi mchanganyiko  
Na Christopher Lissa
Mawaziri wawili wa zamani , Basil Pesambili Mramba, aliyekuwa Waziri wa Fedha na Daniel Yona Waziri wa Nishati na Madini wanaokabiliwa na kesi za matumizi mabaya ya Ofisi na kulisababishia Taifa hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni 11, huenda wakamtoa Lupango aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Grey Mgonja, ikiwa kesi zao zitaunganishwa...
    (17 December 2008)
Views: 149 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

ORIJINO KOMEDI WAMVAA DK. SHEIN

risasi mchanganyiko  
ORIJINO KOMEDI WAMVAA DK. SHEIN
Abraham Makinda na Mariam Mdeme

Kundi la vichekesho nchini la Orijino Komedi wamemvaa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein baada ya kuvalia mavazi ya kike na kumvamia jukwaani huku wowowo la msanii Lukas Mhuvile ‘Joti, likisababisha watu kupiga kelele...

    (10 December 2008)
Views: 879 | Maoni (8) | Soma Zaidi

 

Siri ya Jadee na mama ...

risasi mchanganyiko  
Siri ya Jadee  na mama ...
Na Mwandishi Wetu

Imebainika kuwa mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete, alimfundisha Elimu ya
msingi mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' wakati 'first lady' huyo alipokuwa mwalimu katika Shule ya Msingi Mbuyuni, jijini Dar es Salaam...

    (10 December 2008)
Views: 1066 | Maoni (11) | Soma Zaidi

 

Miss Ruvuma: Nimemuibia Mzungu sababu anatufanyia mchezo mchafu

risasi mchanganyiko  
Miss Ruvuma: Nimemuibia Mzungu sababu anatufanyia mchezo mchafu
Na Waandishi Wetu

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amekiri kumuibia mzungu kiasi cha dola za kimarekani 1800, sawa na zaidi ya shilingi milioni 2 za kitanzania, kwa madai kuwa jamaa huyo hupenda kuwafanyia mchezo mchafu wasichana...

    (10 December 2008)
Views: 1073 | Maoni (14) | Soma Zaidi

 

Anti Ezekiel ajiwekwa kwa kaka Mr. II

risasi mchanganyiko  
Anti Ezekiel ajiwekwa kwa kaka Mr. II
Richard Bukos

Msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel ambaye aliwahi kuwa mke wa Pedeshee Jack Pemba hivi karibuni alinaswa na kamera yetu akiwa amejiweka kwa kaka wa Mwanamuziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi ‘Mr. ll’, aitwae Baraka Mbilinyi...

    (10 December 2008)
Views: 701 | Maoni (14) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 16 17 18  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

hit counter

 

2008 © globalpublisherstz.com