arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » Saikolojia na maisha

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» JE, UNGEPENDA KUPATA RAFIKI ...
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Waraka wa Papii watua kwa J ...
» UFANYEJE MPENZI WAKO AN ...
» Mambo 45 ya kuhuzunisha ...
» ENJI: Sidanganyiiiki
» LIBENEKE LA MAFUA YA NG ...
» KARIBU BUNGENI MAMA!!
» Njia za kumfanya mumeo ...
» SAFARI YA MWISHO MAHAKA ...

 

Kama una upungufu wa nguvu za kiume soma haya - 2

Saikolojia na maisha  
Kwa wanaume ambao wamebanwa sana kikazi na hufanya mapenzi mara moja moja, hukabiliwa na tatizo la kukosa msisimko kwa sababu miili yao huzoea. Sasa ili kuifanya ichangamke lazima waanze kuirejesha kwa kufanya mapenzi mara kwa mara na kwa raundi chache. Kisha wanatakiwa kufanya mazoezi ya mwili na kula vyakula, vinywaji vyenye nguvu ili kujenga nguvu za kufanya tendo hilo...
    (18 March 2010)
Views: 49 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ifahamu misongo ya mawazo inayotatiza familia nyingi (Family Stress)

Saikolojia na maisha  
Katika familia kuna stress (msongo) ambazo zinasababishwa na wanafamilia wenyewe na nyingine zinasababishwa na walio nje ya familia (internal and external stressors). Visababishi vyote hivi huwaathiri wanafamilia kwa namna moja au nyingine.
Visababishi vilivyo ndani ya familia hujulikana kama “family stressors” wakati vile vinavyotoka nje ya familia huitwa “extrafamily stressors”. Matokeo ya visababishi hivi yaweza kuwa magonjwa mbalimbali kwa wanafamilia...
    (16 March 2010)
Views: 38 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Kama una upungufu wa nguvu za kiume soma haya

Saikolojia na maisha  
Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume. Lakini kwa kufupisha mambo, sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani...
    (11 March 2010)
Views: 246 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Umuhimu wa kuhusiana vyema na mama-2

Saikolojia na maisha  
4. Kataa kupingwa na kutawaliwa, ondoa shaka na hofu ya kupata kibali au kukubalika machoni pa mama yako. Kumbuka, kibali tunachotafuta na chenye maana zaidi ni kuwa na kibali machoni pa Mungu. Tambua kuwa haiba ya mama yako na jinsi ya malezi yake yaweza kuwa tofauti kabisa na ya kwako. Elewa kwamba ni upumbavu kujaribu kumbadilisha, amua kumkubali jinsi alivyo...
    (9 March 2010)
Views: 45 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Sifa ishirini za kiongozi bora - 2

Saikolojia na maisha  
Ilipoishia wiki iliyopita
Afuate haki
Kiongozi imara anatakiwa kufuata haki katika kuongoza kwake, asijione mwenye haki zaidi ya wale anaowaongoza katika sheria. Ni muhimu kwake kuwafanya walio chini yake kujiona wako huru katika mawazo na matendo. Kiongozi anayetumia nguvu na ukali kuongoza watu hafai. Hata yule mwenye kujivunia uongozi wake naye hafai.
Awe egemeo la watu
Sifa nyingine ya kiongozi ni kuwa egemeo la watu wake katika shida na raha. Kiongozi mzuri ni yule ambaye atakuwa tayari kusikitika, kuomboleza, kufurahi pamoja na watu wa chini yake bila kujitenga nao. Ajitolee kuwatumikia watu kwa hali na mali na awe tayari kutumika zaidi kwa maslahi ya wengine.
Atie moyo watu
Kiongozi mzuri ni yule ambaye atakuwa na uwezo wa kuwatia moyo walio chini yake ili waweze kuendeleza vipaji vyao. Haipendezi kwa kiongozi kuwavunja moyo watu kwa kauli za kudharau kazi na jitihada zao walizojaribu kufanya katika kutekeleza majukumu yao kama wafanyakazi au wananchi.
Sasa endelea ...
    (4 March 2010)
Views: 26 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

KWANINI WAPENZI HUGOMBANA?

Saikolojia na maisha  
Katika kazi zangu, nimekutana na watu wengi walioko kwenye uhusiano wa kimapenzi wanaolalamika kuhusu ugomvi wa mara kwa mara kwenye mahusiano yao.
Katika makala haya ninajaribu kuonesha baadhi ya sababu zinazofanya wapenzi au wanandoa wengi kugombana mara kwa mara...
    (22 February 2010)
Views: 186 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mwanafunzi afanye nini anapofeli mitihani?

Saikolojia na maisha  
LK Johnson Profesa wa zamani kutoka Chuo cha Stanford nchini Uingereza, aliwahi kusema kuwa mwanafunzi anaweza kupasi mtihani wake kabla hata hajaufanya kutokana na kujiamini kwake. Hata hivyo, hatari inatajwa kuwa kubwa kwa mwanafuzi wa aina hiyo pale linapokuja suala la kufeli mtihani...
    (18 February 2010)
Views: 67 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mambo matano muhimu kuyafanya kabla hujafikia miaka 40

Saikolojia na maisha  
1. Jiwekee malengo ya kifedha
Weka maamuzi binafsi ya nini unachokihitaji na wapi unakotaka uwe kimaisha hapo mbeleni.
Yaweke malengo yalio ya kifedha katika makundi yafuatayo:-
    (16 February 2010)
Views: 284 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ufumbuzi wa tatizo la ugumba

Saikolojia na maisha  
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukoseka miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga na kufanyiwa mambo mengi ya ajabu, ikiwa ni pamoja na kufanya mapenzi na mizuka au na watu ambao hawakuwatarajia ili tu waweze kupata watoto...
    (11 February 2010)
Views: 147 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Mbinu za kufanya vema mitihani kidato cha sita-2

Saikolojia na maisha  
Ilipo ishia wiki iliyo pita
Hakikisha umeyasoma maswali yote, la kwanza mpaka la mwisho na weka alama kwenye maswali unayoyafahamu vizuri. Ukishayasoma yote, panga muda utakaoutumia kujibu kwa kila swali kutegemeana na uzito wa swali.
Ukishamaliza sasa unaruhusiwa kuanza kuyajibu. Anza na yale unayoyajua vizuri kwani kwa kufanya hivyo utajikuta kujiamini kwako kukizidi kuongezeka...
    (4 February 2010)
Views: 45 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

TABIA 10 HATARI KWA UBONGO NA MAINI YAKO

Saikolojia na maisha  
MARA nyingi wengi huumwa na kudhoofu afya zetu na hata kupoteza maisha kwasababu zisizo tu za magonjwa bali tabia au mitindo ya maisha ambayo tumeyazoea, bila kujua, hutusababishia uharibifu mkubwa wa miili na sehemu za miili yetu na hivyo kutuweka katika hatari ya kupotezea uhai...
    (1 February 2010)
Views: 216 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Mbinu za kufanya vema mitihani kidato cha sita

Saikolojia na maisha  
Wanafunzi wa kidato cha sita nchini wanajiandaa kuingia katika mitihani ya kuhitimu Kidato hicho (A-level) siku chache zijazo. Kwa kutambua hofu na taharuki kubwa wanayokuwa nayo wanafunzi, nimeandaa mada hii iwe msaada kwao, walezi, wazazi na wote ambao mtihani huu unawagusa kwa namna moja au nyingine. Zifuatazo ni mbinu za kitaalamu ambazo zitasaidia kumjenga mwanafunzi na kumuondolea kabisa hofu pindi anapoingia kwenye chumba cha mtihani...
    (28 January 2010)
Views: 70 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ukiingia kwenye ndoa kwa sababu hizi umeula wa chuya-2

Saikolojia na maisha  
5. Kuolewa au kuoa kwa shinikizo la wazazi, ndugu au marafiki
SHINIKIZO la kimwili au kihalisia ni pale wazazi wanapowalazimisha watoto wao kuoa au kuolewa na watu fulani kwa sababu tu ni marafiki zao (family friends) ama walinde utajiri na matarajio binafsi. Ndoa nyingi za aina hii zimekuwa kero na dimbwi la maumivu na machozi, ambapo baada ya muda kidogo wanandoa hujikuta wana mali na wazazi wao wanapatana, lakini wao wenyewe ni maadui wakubwa...
    (25 January 2010)
Views: 136 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Njia za kujenga uwezo wa kujiamini

Saikolojia na maisha  
Ni vigumu kuelezea moja kwa moja kujiamini maana yake nini? Lakini mtazamo wa mwanadamu juu ya namna wenzake wanavyomchukulia inaweza kuwa kutafsiri neno kujiamini. Ikiwa utajilinganisha na wengine na hatimaye kuhisi aibu, ujue unakabiliwa na tatizo la kujiamini...
    (21 January 2010)
Views: 248 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Ukiingia kwenye ndoa kwa sababu hizi umeula wa chuya

Saikolojia na maisha  
TUMEWAONA watu wengi wakiishi kwenye ndoa katika hali tofauti za maisha, wako wenye fedha na wasionazo, wenye furaha na wasionayo. Yote haya huweza kuchangiwa na sababu nyingi zikiwemo mbovu na zisizo na msingi ama zile sahihi na zenye tija...
    (18 January 2010)
Views: 211 | Maoni (0) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 9 10 11  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi


Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com