arrowSet HomePage |arrowBookMark Us
right
lines

Global Publishers Tanzania- Uwazi » uwazi

Tafuta  

Tembelea...

Kalenda

Gazeti la Ijumaa

Marafiki wetu

Habari Zilizopita

Soma Magazeti Yetu...

Gazeti la Risasi Mchanganyiko
Amani
Gazeti la Ijumaa Wikienda

Bongo Celebrities ...

 
Habari Zinazotamba Habari Mchanganyiko
» Aunt Ezekiel alivyopigika k ...
» ZITO LAIBUKA
» KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMAT ...
» GLOBAL PUBLISHERS MUSIC PLA ...
» JERRY MURO AKOSWA RISASI
» Kigogo afanyiwa umafia
» JERRY: NASAKWA NIUAWE!
» Papic apiga dakika 180 ...
» CCM YAADHIMISHA MIAKA 3 ...
» KUMRUHUSU MPENZI WAKO K ...
» Mcheza video ya X
» SITATUMA WANAJESHI YEME ...
» Maftah amuonya Njoroge ...
» Banka afunga mwaka na Y ...

 

JERRY MURO AKOSWA RISASI

uwazi  
JERRY MURO AKOSWA RISASI

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mwandishi wa habari za uchunguzi na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC 1), Jerry Muro amekoswakoswa kupigwa na kitu kinachoaminiwa kuwa ni risasi nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alikokwenda kusikiliza kesi yake Ijumaa iliyopita...

    (16 March 2010)
Views: 3141 | Maoni (7) | Soma Zaidi

 

Hofu ya misukule yatanda

uwazi  
Hofu ya misukule yatanda

Katika hali isiyotarajiwa na watu wengi, jiji la Dar es Salaam limegubikwa na hofu kubwa kutokana na baadhi ya watu kufiwa na ndugu zao vifo vya kutatanisha na kisha kuchukuliwa misukule na kwenda kuishi kusikojulikana huku wao wakiamini kuwa waliyemzika ni ndugu yao...
    (16 March 2010)
Views: 1549 | Maoni (4) | Soma Zaidi

 

Tambwe amtia kiwewe Mbunge Mtemvu

uwazi  
Tambwe amtia kiwewe Mbunge Mtemvu
Abbas Mtemvu.

Siku chache baada ya Ofisa Msaidizi wa Propaganda wa Chama Cha Mapinduzi Richard Tambwe Hizza kutangaza nia ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, tetemeko la kisiasa limelikumba jimbo hilo...
    (16 March 2010)
Views: 191 | Maoni (1) | Soma Zaidi

 

Mauaji ya mke wa Balozi mambo mengi yaibuka!

uwazi  
Mauaji ya mke wa Balozi mambo mengi yaibuka!
Marehemu Anna Daraja.

Kufuatia mauaji ya mke wa Balozi Mstaafu, Andrew Daraja kilichotokea wiki iliyopita Kimara Temboni, jijini Dar es Salaam, marehemu Anna Daraja (pichani), mapya yaibuka ikiwa ni pamoja na raia wema kuamua kumtafuta muuaji huyo ambaye baada ya kufanya ukatili huo alitoroka...
    (16 March 2010)
Views: 1463 | Maoni (3) | Soma Zaidi

 

MCHUMBA WA ANAYEDAIWA KUUAWA NA POLISI ATOBOA SIRI

uwazi  
MCHUMBA WA ANAYEDAIWA KUUAWA NA POLISI ATOBOA SIRI

Mchumba wa marehemu, Musa Juma anayedaiwa kuawa na polisi, Rehema Kipanda ametoboa siri kuwa mara baada ya kupata habari za kukamatwa kwa mumewe mtarajiwa alifika polisi kwa nia ya kutaka kumuona lakini akawekwa chini ya ulinzi kwa mahojiano...
    (16 March 2010)
Views: 1012 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

Sitta na Lowassa wangepatanishwa jana!

uwazi  
Sitta na Lowassa wangepatanishwa jana!
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Samuel Sitta.

Nimesikia kwamba, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Samuel Sitta (pichani) na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa wamepatanishwa, hii ni baada ya msuguano mkubwa uliolitikisa taifa mpaka baadhi ya mawaziri kuamua kuachia ngazi. Kinachotajwa kwenye mzozo ni vita ya ufisadi ambapo mpaka sasa raia wamebaki njia panda hawamjui nani fisadi...
    (16 March 2010)
Views: 289 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

wagonjwa washinda kwenye vyandarua mchana‏

uwazi  
wagonjwa washinda kwenye vyandarua mchana‏


Na Jumbe Ismailly,Singida
Kituo cha afya cha Sokoine,kilichopo katika Manispaa ya Singida kinakabiliwa na tatizo la kuwa na mbu wengi nyakati za mchana,hali ambayo hutishia wagonjwa wanaolazwa kulazimika kukaa ndani ya vyandarua hata nyakati za mchana kwa kuhofia kuumwa na hatimaye kuambukizwa ugonjwa wa malaria. Malalamiko hayo yalitolewa na wagonjwa waliolazwa kwenye kituo hicho,kwa Naibu Waziri wa afya na Ustawi wa jamii,Dk.Aisha Omari Kigoda aliyetembelea kituo hicho na kuzungumza na wafanyakazi pamoja na akina mama wajawazito.

Aidha walisema akina mama hao kuwa ni jambo la kawaida kwenye kila nyumba au kituo cha afya kuwepo mbu nyakati za usiku,lakini kwenye kituo hicho ni kinyume kabisa kwani hulazimika kukaa ndani ya vyandarua hata nyakati za mchana.

“Tumekuwa tukikaa ndani ya vyandarua hivi hata mchana kutokana na kuogopa kuumwa na wa na ambao wanaweza kuwaambukiza malaria.
    (10 March 2010)
Views: 29 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

SIJAFA

uwazi  

SIJAFA

Richard Bukos na Kyalaa Seheye
Baada ya uvumi wa kifo cha mwanasiasa mkongwe nchini, Maalim Seif Sharif Hamad (pichani chini) ikichukua sehemu kubwa ya mijadala mitaani na mitandaoni jana, hatimaye Uwazi limeweza kukusanya ukweli kamili.
Jana, waandishi wetu walizungumza Maalim Seif ambaye alisema, “Sijafa na uvumi huo hata mimi nimeusikia...
    (9 March 2010)
Views: 586 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Kanda za ngono

uwazi  

Kanda za ngono

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
Katika hali ambayo siyo ya kawaida kwa jamii ya Watanzania hasa wacha Mungu, hivi karibuni katika Msikiti wa Ijumaa, Mwenge jijini Dar es Salaam, kijana aliyefahamika kwa jina la Kassim Abdallah (28), alifika msikitini hapo na kuuza picha za ngono zenye mchanganyiko na kwaya za dini pamoja na mauaji ambazo zimerekondiwa katika CD, wakati ‘kava’la juu likieleza ni picha za Safari ya Hija, kitendo kilichotafsiriwa na waumini kuwa ni kufuru kwa Mungu...
    (9 March 2010)
Views: 608 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

Sherehe za kusimikwa kamanda zatikisa Ludewa

uwazi  

Sherehe za kusimikwa kamanda zatikisa Ludewa
Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CC), Bw. Deo Filikunjombe.

Na Francis Godwin, Ludewa
SHEREHE za kusimikwa kwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CC), Bw. Deo Filikunjombe zilitikisa mji wa Ludewa mkoani Iringa baada ya wana CCM kutoka kata zote 22 za wilaya hiyo kushiriki huku wakiwa na furaha kubwa...
    (9 March 2010)
Views: 142 | Maoni (5) | Soma Zaidi

 

MSHANGAO!

uwazi  

MSHANGAO!

Na Musa Mateja
Harusi ya mtoto wa Waziri wa Ajira, Kazi na Maendeleo ya Vijana, Mhe. Juma Athuman Kapuya, MzuriKwao Kapuya na Bwana harusi, Salim Kabola imeibua mshangao mkubwa kufuatia nyomi ya ‘wakubwa’ kufurika katika sherehe hiyo na mambo kufanyika kinyume na matarajio ya wengi...
    (9 March 2010)
Views: 1521 | Maoni (7) | Soma Zaidi

 

Polisi lawamani kwa mauaji

uwazi  

Polisi lawamani kwa mauaji

Na Joseph Ngilisho, Arusha
Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limeingia katika lawama na msuguano mkali na familia moja ya marehemu, Athuman Ramadhan (42) mkazi wa Mbauda, jijini Arusha, anayedaiwa kuuawa na askari baada ya kufanya mapenzi na changudoa mmoja kwenye nyumba ya kulala wageni ya Shauri Moyo iliyopo Matejoo...
    (9 March 2010)
Views: 687 | Maoni (2) | Soma Zaidi

 

KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMATWA

uwazi  
KIGOGO WA MURO NAYE KUKAMATWA

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo
UPEPO unaonekana kugeuka kufuatia kuwepo taarifa kuwa, yule kigogo ambaye hivi karibuni, alikuwa kwenye mtafaruku na Mtangazaji wa Shirika la Habari Tanzania, (TBC 1), Bw. Jerry Muro ...
    (2 March 2010)
Views: 1903 | Maoni (6) | Soma Zaidi

 

Mauaji makubwa ya kutisha Dar

uwazi  
Mauaji makubwa ya kutisha Dar

Na Mwandishi Wetu
MAUAJI makubwa yametokea usiku wa Jumatano iliyopita, huko Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam, ambapo watu watatu akiwemo muendesha pikipiki za kukodi, ...
    (1 March 2010)
Views: 637 | Maoni (0) | Soma Zaidi

 

Askofu Kakobe, Ngeleja

uwazi  
Askofu Kakobe, Ngeleja
Na Elvan Stambuli
MGOGORO kati ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Mkuu, Zachary Kakobe (pichani) na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) unaosimamiwa na Waziri ...
    (1 March 2010)
Views: 497 | Maoni (1) | Soma Zaidi
Back  <<  1 2 3 ... 34 35 36  >>  Next Page
 

Kura Yako / Poll

Habari Katika Picha


Gazeti la Uwazi



Nani Yupo / Alikuwepo


Home Page | About Us | Regista | Picha | Bongo Celebrities | Maoni | Contact Us

 hit counter

counters

2008 © globalpublisherstz.com