Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI
Ndugu zangu, naendelea na somo la kuchagua marafiki kama ambavyo nilianza nalo wiki iliyopita katika sehemu ya saba. Kama leo hii ungeniuliza rafiki zangu wakubwa ni akina nani, ungeshangazwa sana na majina ambayo ningekutajia. Karibu matajiri wengi wakubwa wa nchi hii ni rafiki zangu, ukinitajia yeyote ...
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI
Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiingereza iitwayo Webster’s Universal ya mwaka 2004, neno FRIEND (rafiki) linamaanisha A person whom one knows well and is fond of, an ally, supporter, or sympathizer (Mtu unayemjua vyema na unampenda, mshirika, muunga mkono au anayekuonea huruma) Tukiichambua vizuri tafsiri hii ya neno RAFIKI, tunapata mambo muhimu yafuatayo:- ...
Nancy na Justine wamepanda ndege kuja nchini Tanzania kwa ajili ya utambulisho kwa familia ya Nancy na pia Justine kufuatilia asili yake baada ya bwana na bibi Lawrence Green kumweleza asili yake ilikuwa Tanzania, walimwokota kwenye shamba lao muda mfupi tu baada ya kuzaliwa na kutupwa.
Walipowasili tu uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere, familia ya Nancy ilikuwepo kuwapokea! Akashangazwa na minong’ono aliyoisikia wakati wa utambulisho kama vile watu hao walikuwa wakiongea jambo fulani juu yake, alipomuuliza Nancy juu ya hilo alijibiwa huenda ni kwa sababu ya umaarufu wake duniani.
Nyumbani kwao na Nancy, wanamkuta bibi yake ambaye alipomwona tu Justine alianza kulia akiita jina la Tracy na kudai Justine alifanana sana na binti yake huyo, kama angevaa nguo za kike angekuwa Tracy sababu hata kidoa cheusi alichokuwa nacho Tracy usoni pia Justine alikuwa nacho! Je, nini kitaendelea? SONGA NAYO…
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI
Nidhamu nyingine ni ya watu, lazima ujifunze kuwa na nidhamu kwa watu wanaokuzunguka. Bila kujali hadhi yao, siku zote wachukulie watu wote kwamba wapo sawa. Wape heshima wanayostahili hata kama ni masikini! ...
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI
Ndugu msomaji, Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanachama wa Jikomboe Clubs wa klabu za Women Group Jikomboe Club na Pambana Fasaha Jikomboe Club zilizopo Ukonga jijini Dar es Saalam ambazo zilinialika Alhamisi iliyopita kwenda kuzungumza nazo...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh.
Matokeo duni ya shule za Sekondari yanasababishwa na Serikali kutoshughulikia matatizo yanayochangia wanafunzi kufeli. Hayo yalielezwa mjini hapa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, alipokuwa akitoa taarifa ya ukaguzi uliyofanywa na ofisi yake kubaini chanzo cha kushuka kwa ufaulu nchini...
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI
Sisemi kwamba watu wasitumie fedha au wasifurahie maisha katika hatua yoyote wanayofikia, ni vizuri kufurahia maisha, ninachokiongelea hapa ni matumizi ya fedha yasiyokuwa na maana, labda sababu ya sifa tu, au uonekane kwamba uko matawi ya juu! Mimi huuita huu utovu wa nidhamu katika matumizi ya fedha na unachelewesha sana maendeleo katika maisha ya mwanadamu....
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI
Siku ya Alhamisi ya tarehe 28, 2010, nilifanikiwa kuongea kwa njia ya simu na baadhi ya wanachama wa JIKOMBOE CLUBS, ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu kusikia sauti za vijana hawa walioamua kwa dhamira moja kufanya kila kinachowezekana ili kuondoka kwenye hali ya umaskini, kupuuzwa na kudharauliwa wakati wao ni viumbe waliotimia na Mungu aliwapa zawadi kubwa kabisa kuliko zote; AKILI! Ambayo kama ikitumiwa sawasawa, hakuna kilele kirefu cha mlima ambacho hawawezi kukifikia, hakuna ugonjwa usioweza kutibika, hakuna kina kisichoweza kufikiwa na hakuna mto usioweza kuvukwa!...
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI...
Austine na Justine, ni mapacha wawili wasiofahamiana, walizaliwa na mwanamke mmoja aliyewatupa porini wakaokotwa na familia mbili tofauti! Mmoja kati yao akakulia Marekani akiwa nyota wa mpira wa Kikapu (Justine) na mwingine (Austine) akasomea Upadri mpaka kujikuta baadaye anatamani kuendelea na masomo ya sheria. Je, nini kitaendelea kati yao? SONGA NAYO…
Hakuwa na cha kufanya zaidi ya kurejea mahali alipomwacha mzee amelala, akajaribu kumwamsha ili waondoke lakini mzee hakuitikia wala kutingishika, akamgusa kifuani upande wa moyo na kugundua ulikuwa umesimama. Hakuwa hai tena, alishakufa. Albert akasikitika moyoni mwake, kisha kwa ujasiri wa ajabu mwili wake ukimuuma, akaanza kutembea kuelekea bondeni kulikokuwa na giza bila kuogopa, kwake ilikuwa ni bora akafie mbele kuliko kufa mikononi mwa Waasi wa Congolese Patriotic Movement.
Baadaye Albert aliingia chini ya miti mingi na kuendelea kutembea huku akichechemea, ingawa alikuwa amechoka ilibidi aendelee kwenda mbele kwa hofu kwamba waasi wangemfuatilia baada ya kuona ni yeye peke yake ndiye aliyenusurika, akazidi kwenda, cha kushangaza kila baada ya kama kilometa moja aliuona tena ule mwanga, katikati yake ikiwepo taswira ya Theresia akitabasamu, alipousogelea mwanga huo ulizimika! Lilikuwa jambo ambalo mtu angeweza kulifananisha na ndoto, lakini Albert aliamini ni ukweli.
Hali ikaendelea hivyo mpaka kukacha asubuhi na kujikuta yupo kando ya barabara, mwili wote umechoka, hakuwa na uwezo wa kuendelea tena, njaa na kiu kali ya maji ikimsumbua. Akalala kando ya njia kwenye nyasi nyingi na kuendelea kuangalia aina za magari yaliyopita, hakuelewa mahali alipokuwa ni Kaskazini, Kusini, Mashariki au Magharibi ya Kongo zaidi ya kujua alikuwa katikati ya pori.
Haukupita muda mrefu sana akaona basi limepita, moyo wake ukajawa na furaha, Albert akanyanyuka taratibu na kusogea barabarani, akaanza kupunga mkono wake hewani ambavyo abiria hufanya, basi linasimama na yeye kupanda watu wote wakimshangaa. Utigo anapojaribu kuongea naye anakuwa hamuelewi kwa bahati nzuri mtu mmoja aitwaye Pitchou anasikia maongezi yao na kumsaidia Albert. Safari inaendelea kuelekea Lubumbashi huku Albert akimdadisi Pitchou juu ya historia ya Theresia naye anamweleza kwamba hakuwa na haja ya kwenda Chipole kwani tayari mtu huyo alishahamishwa Kinshansa. Albert yuko ndani ya ofisi ya Mkuu wa Upelelezi akiongea naye.Je, atafanikiwa kumwona Theresia? SONGA NAYO…
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI...
Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka huu ni wako, USIKOSE KUUSOMA KILA WIKI...
Albert aliendelea kuamini kwamba angetoka na kuendelea na safari yake, jioni ya siku hiyo wakiwa ndani ya jumba hilo mlango ulifunguliwa na askari mmoja akaingia akiwa na mtutu wa bunduki huku akiamuru watu wote watoke nje, kwa idadi ya haraka-haraka Albert aliamini watu hao walifika sabini.
Kwa unyonge alitembea na kuufuata msafara afya zao zilikuwa mbovu wala hawakuonyesha matumaini ya kuishi. Wakiwa nje Albert alijaribu kunyoosha mkono kwa nguvu zake zote huku akipiga kelele lakini hakuna askari hata mmoja aliyekuwa tayari kumsikiliza. Mateso yaliendelea kwa muda wa wiki nzima, afya yake ikaanza kuharibika, akakonda kupita kawaida, vidonda vikaanza kumtoka mwilini lakini bado hakukata tamaa aliamini ipo siku angetoka humo na kuendelea na safari yake kuelekea Chipole.
Mateso makali yaliendelea watu wakizidi kufa na maiti kutolewa nje, wakiwa katika mateso hayo usiku mmoja askari aliingia usiku ndani ya jumba na kupaza sauti akitangaza juu ya uamuzi wa Kiongozi wa kundi kwamba alihitaji kuongea nao. Albert akashusha pumzi akifahamu kwamba huo ndio muda muafaka wa yeye kuwa huru, aliomba Mungu awamu yake ifike ili akaongee na Kiongozi huyo wa waasi.
Kwa muda zoezi hilo liliendelea, lakini moyoni Albert akiwa na wasiwasi mkubwa hakuamini kama kweli watu hao waliruhusiwa alihisi kuna kitu cha siri kilichokuwa kinaendelea na tayari ndani ya chumba walishabaki watu wanne mmoja wapo akiwa yeye. Je, nini hatima yao? Wataachiwa huru kweli? SONGA NAYO…
Tayari umekwishavuka hatua tatu, ya kwanza ikiwa ni Sababu ya kufanikiwa, ya pili Lengo na ya tatu Mpango wa mafanikio. Umefurahia kuzivuka hatua hizo na sasa umeingia katika hatua ya nne; Utekelezaji, kwangu mimi hii ndiyo huiona hatua ngumu kuliko zote, kwani ukishaigusa tu tayari unaanza kuona mabango yanainuliwa, mengine yameandikwa “Huwezi” “Huna sifa” “Wengi wamekwishajaribu wakashindwa” “Huna mtaji” “Una ulemavu” na maneno mengine mengi ya kufanana na hayo...